TIBA KWA MATATIZO YA MACHO
MAUMIVU YA MACHO Yako magonjwa ya aina nyingi ya matatizo ya macho kutegemeana na chanzo cha tatizo. japo ntagusia kuhusu matatizo mengine ya macho ila ntaongelea zaidi JICHO KUCHOMA CHOMA NA KUPELEKEA MAUMIVU SABABU YA TATIZO Kuangalia sana tv,simu au kompyuta Kusoma kwa muda mrefu Ukosefu wa usingizi kutumia vikuza muonekano (lenses) TIBA YAKE © tibazakissuna.blogspot.com > Tumia MAJI YA BARIDI kuoshea uso > Tumia ROSE WATER kusafishia jicho kwa kuweka kwenye pamba ukikosa tumia matone ya SHUBIRI > ASALI na MAJI changanya kwa ujazo sawa kisha pakaa kwenye jicho likiwa lime jifunga > Kata kipande kidogo cha TANGO kisha weka kwenye jichoukiwa umelifunga ukiwa umejilaza chali kwa dakika 15 > Unaweza kukosa vyote sio mbaya pia kama utafunga jicho na kujiweka kijiko juu yake kwani ubaridi wake huleta nafuu MATATIZO MENGINE YA JICHO > JICHO LILIL...