Machapisho

UVCCM YAZIDI KUJIMARISHA

Picha
Kaimu Katibu Mkuu uvccm Taifa SHAKA HAMDU SHAKA akikabidhi kadi kwa wanachama wapya wilaya ya Mwanga Kaimu katibu mkuu UVCCM taifa Shaka Hamdu Shaka akifungua shina la wakereketwa wa CCM katika kijiji cha Mtalang'a kikundi cha ngoma kutoka katika kabila la kichaga kikitumbuiza wakati wa kaimu katibu mkuu wa UVCCM akiwasili wilayani Mwanga    Na Woinde Shizza, Mwanga Umoja wa vijana wa Chama cha mapinduzi umewataka wananchi wa mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania kukataa na kuzikwepa siasa za uzawa na ukanda kwasababu ubaguzi ni dhambi isiyosamehewa na mungu. Wametakiwa kutambua kuwa ubaguzi ni zaidi ya laana ambayo ikiemea na kujengeka katika jamii kuiondosha kwake ni kazi ngumu na kwamba kafara yake lazima maisha ya watu yapotee au damu imwagike. Hayo yameelezwa leo na Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu shaka wakati akizungumza na wanachama wa CCM katika kijiji cha Mtalang'a kata ya Mwanga mkoani hapa. Shaka alisema ni aibu binadamu aliyestaarabika, kupata elimu akawa...

sponsored post: Fahamu Kuhusu Misukule Wa Maofisini Na Jinsi Ya Kujikinga Usifanywe Msukule Wa Ofisini

Picha
Na. Dokta  Mungwa  Kabili...0744  000 473 SWALI : Mtaalamu, kwa  heshima  na  taadhima  ninaomba  unisaidie  suala  langu. Mimi ni  mwanamke  mkaazi  wa  manispaa  ya  Nyamagana, jijini  Mwanza,  umri  wangu ni  miaka  37, mume  wangu ana  miaka  45 sasa.  Tangu  tumefunga  ndoa, huu  ni  mwaka  wa  kumi na  tano.  Mimi   nina jishughulisha  na  biashara  ya  ufundi cherehani. Mume  wangu amesoma hadi  Chuo  Kikuu, amesomea  mambo ya  kompyuta.   Tangu mwaka  2000  mume wangu  amekuwa  akifanya  kazi  kwenye  Internet  Café ya  Muhindi . Hela  anayo  lipwa kidogo sana, na  kutokana  na  uchapaji  kazi  wake, kampuni  nyingi zimekuwa  zikimfuata  zikitaka  ku...

ARSENAL WAMTAKA SIMIEONE BADALA YA WENGER..!!!

Picha
Mashabiki wa Arsenal wamemshambilia meneja wa timu hiyo Arsene Weger katika mtandao wa twitter na kumtaka aondoke na nafasi yake ichukuliwa na raia wa Argentina, Diego Simeone. Wamesisitiza kuwa timu ya Arsenal chini ya Wenger haijatwaa ubingwa wa Ulaya tangu mwaka 2004 na wala haijashinda UEFA Champions League hata mara moja. Aidha mashabiki hao walimkubali zaidi Diego Simeone baada ya kuiongoza vyema klabu yake ya Hispania Atletico Madrid na kufanikiwa kuwafunga vigogo wa Ujerumani Bayern Munich 1-0 katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya UEFA. Kambi ya Wenger msimu huu imetikisika kwa kias kikubwa kutokana na shinikizo kutoka kwa wadau wa klabu hiyo na kusababisha kuharibika kwa mbio zao za ubingwa walizoanza vyema.

TCRA Yatoa Onyo Kwa Wafanyabiashara Wanaobadili IMEI za Simu FEKI ili Kuwahadaa Wananchi

Picha
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa wafanyabiashara wa vifaa vya mawasiliano, kuacha kuwahadaa wananchi kwa kutoa punguzo ili kuwashawishi kununua simu bandia na kutishia kuwafunga miaka 10 jela, faini ya Sh30 milioni au vyote kwa pamoja watakaobainika. Hatua hiyo imekuja wakati mamlaka hiyo ikiwa katika hatua ya kutekeleza mfumo wa rajisi ya namba za utambulisho wa vifaa vya mawasiliano vya mkononi, huku ikitarajia kuzima simu feki ifikapo Juni 16. Akizungumza na vyombo vya habari jana, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCRA, Mhandisi James Kiraba alisema kuna wafanyabiashara wajanja wanaobadilisha namba za utambulisho za vifaa vya elektroniki (IMEI) ili kuwahadaa wateja kuwa simu zao siyo feki. Kwa ujanja huo, namba ya utambulisho inakuwa inatumika na simu zaidi ya moja na kutambulika na mfumo licha ya kuwa ni feki. Pamoja na kuonekana ni halisi kwa kipindi wanachozinunua, alisema simu hizo zinazobadilishwa IMEI nazo zitazimwa Juni 16 kwa kuwa ni feki. ...

Mbinu 5 Za Kugeuza Mwonekano Wako Wa Mwili Ili Ugeuke Sumaku Kwa Wanawake

Picha
Katika posts zetu za awali tumekuwa tukisistiza ya kuwa mwonekano wako si muhimu sana wakati wa kutongoza. Lakini je ukipatana na mwanamke ambaye kila wakati unapojaribu kumtongoza na kumshawishi anakuwa na maringo? Geuza na kuongeza mwonekano wako wa mwili ghafla! Well, najua wakati ambapo unaaproach mwanamke mara ya kwanza fikra inayokuja ya kwanza ni kuwa mwanamke kama huyu asikuhukumu na vile ulivyovalia ama mwonekano wako bali aangalie tabia na maneno yako matamu ambayo utakuwa ukimwambia. Lakini kwa bahati mbaya ni kuwa wanawake wachache mno ambao wataangalia tabia yako, wengi huangalia mwonekano wako. Leo nimeamua kuandika post hii maksudi ili tuweze kuiteka hii asilimia kubwa ya wanawake ambao huangalia mwonekano wa mtu badala ya tabia. Twende zetu sasa. 1. Valisha utu wako Utu wako ndicho kigezo kikuu cha kupima vile ambavyo utavalia na wala si kuangalia nguo ambazo zinatrend wa maduka au soko. Ni mara ngapi ushawaona watu unaowajua wakivalia nguo flani halafu ukasema...

AFANDE SELE: KAMA SI UPENDO WA MAHREZ KWA SAMATTA, STARS ILIBIDI IFE 10-0

Picha
Mkongwe wa Bongo Flavor nchini Selemani Msindi maarufu kwa jina la Afande Sele amesema soccer ni miongoni mwa michezo yenye upendo wa hali ya juu huku akitoa sababu kadhaa katika kuthibitisha hilo. Afande Sele ameandika ujumbe kupitia account yake ya Instagram  ‘afandeseletz’ akielezea namna mchezo huo na watu wake walivyotawaliwa na upendo wa kweli kwa kuonesha matukio mawili yanayothibitisha hilo. Tukio la kwanza ni Daniel Alves kujitolea sehemu yake ya ini kumpa beki mwenzake Eric Abidal waliyecheza pamoja kwenye klabu ya FC Barcelona ambaye aligundulika kuwa na tatizo la ini na alihitaji apandikizwe kipande cha ini kutoka kwa mtu mwingine. Tukio la pili ambalo Afande Sele anaendelea kuonesha kuwa mchezo wa soka ulivyotawaliwa na upendo ni juu ya ile mechi ya marudiano kati ya Algeria vs Tanzania ambapo Tanzania ilipigwa goli 7-0 ugenini. Afande Sele anasema kama isingekuwa Samatta kuhurumiwa na Riyad Mahrez (mchezaji wa timu ya taifa ya Algeria na klabu ya Leicester City ya...

TID Afungukia Penzi Lake na Wema Sepetu

Picha
Msanii mkongwe wa muziki, TID amesema kipindi cha nyuma alikuwa anatoka kimapenzi na malkia wa filamu Wema Sepetu lakini baadae alitemwa hali ambayo ilimuumiza sana. Akizungumza katika kipindi cha Clouds TV Ijumaa hii, TID amesema hali hiyo ilimfanya atoke na wasichana wengi. “Nilikuwa ‘namdate’ Wema Sepetu akaniambia sikutaaki, tangu kipindi hicho nimekuwa na wasichana wengi. Ikitokea Wema anataka kurudi hakuna nafasi, I’m occupied,” alisema TID. TID amesema katika kipindi hicho aliumizwa sana na jinsi magazeti yalivyokuwa yanamuandika vibaya. “Wakati huo mitandao ya kijamii haikuwepo lakini wamagazeti walizichukua picha na kufanya yao, it was bad. Mimi nikasema sawa lakini niliumia sana,” alisema TID. Muimbaji huyo kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Confidence’ aliyomshirikisha Joh Makini pamoja na Dully Sykes.