Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2023

FAIDA ZA MBEGU ZA PARACHICHI,

Picha
   MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA UNGA WA MBEGU ZA PARACHICHI Limetumika kwa miaka mingi kama tunda na pia kama mboga. Kwa sababu ya wingi wa virutubisho vyake linatumika kutibu maradhi ya shida ya mmeng’enyo wa chakula, urutubishaji wa nywele na ngozi, na kuboresha afya. Mbegu  imegundulika kuwa na faida lukuki. FAIDA YA MBEGU ZA PARACHICHI Virutubisho kwenye kijiko 1 cha UNGA wa mbegu ya parachichi kimesheheni, Vitamin K  26% ,Folate 20%, Vitamin C 17%, Potasimu 14%, Vitamin B5 14%, Vitamin B6 13%, Vitamin E 10%. Virutubisho vingine ni Magnesium, manganese, shaba, chuma, zinki, phosphorus, vitamin A, B1, B2 na B3. (asilimia ni kiwango cha kirutubisho kinachotakiwa kwa siku). 70% ya faida zote za parachichi zipo kweye mbegu yake. Kwahiyo unapokula parachichi na kutupa mbegu yake unakuwa umekula faida 30% na kutupa 70%, hasara iliyoje. Faida: 1. Inaupambana na mioto katika mwili na kutibu magonjwa yanayohusiana na mioto kama shida kwenye jointi za mifupa, arthritis. 2. Ina...