Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2021

KISA CHA NABII MUSA NA HIDHIRI |T MEDIA NEWS

Picha
    T media news     16:47:00 KISA ICHI KIMEKUSANYWA  NA KUANDALIWA VEMA NA TAWFIQ MASSINI.       KISA CHA NABII MUSA NA HIDHIRI               SEHEMU YA KWANZA Ni kisa cha  hidhri ameelezewa kama Nabii au Walii au hata Malaika aliye ahi mpaka leo hii ni nabii ambaye bila ya musa uwenda tusinge mfaham ALLAH natusimlia katika qurani  sura ya 18 aya 60 mpaka 82 "Nakumbukeni musa alipomwambia kijana wake  nitaendelea na safari  mpaka  nifike katikati ya  maungano ya bahari mbili  au niendele karne na  karne mpaka  nikutane na huyo ninayetaka kukutana  naye." Kabula ya kisa cha hidhiri tuanze kisa cha musa nacho kwa uchache........ ...Nabii Musa A.S. alipokuwa mkubwa, mkewe Firauni alimwamrisha mama yake amlete ili apate kuishi katika jumba la Firauni. Alipomleta akamchukua mpaka kwenye chumba cha Firauni akamweka hapo ili acheze...