Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2019

PUNGUZA UZITO BILA GHARAMA KUBWA

Picha
WAKATI MWINGINE JUICE YA UKWAJU NZITO INAWEZA KUKUTOA HUKO USIKOPENDA KUNAKOKUFANYA UKOSE RAHA.... MAHITAJI YAKE NI KAMA IFUATAVYO 1- Ukwaju robo kilo uliomenywa 2- Limao moja la wastani 3- Maji lita moja 4- Rojo la tende nusu kikombe Au asali vijiko vitatu JINSI YA KUANDAA Ni rahisi sana chukua sufuria yako weka ukwaju na maji kisha bandika jikoni uchemke dk 15-20 kusaidia kulainika haraka. Koroga wakati ukiwa unachemka ili utoke vizuri. Baada ya Hapo Ipua Subiri upoe kisha utoe mbegu za ukwaju na uchuje... Kamulia limao lako kisha weka Asali Au tende kama nilivyoelekeza koroga na uandae tayari kwa kunywa... Ukiishakunywa hii kitu pumzika tu home Usije pata shida safarini huko...maana unatakiwa kuinywa NZITO hivyohivyo ili ifanye kazi vizuri... Kwa maelezo Wasiliana na Doctor Seifu.

Njia 8 rahisi za mazoezi ya macho, ili kutunza macho yako yawe na afya

Picha
Daktari yeyote atakuambia kwamba kutunza macho ni vizuri, na kuyafanyia mazoezi macho yatakuwa na afya, mazoezi mengine yataongeza kuona, mengine yanasaidia kama kuchoka kwa muda, bado mengine yatasahihisha macho yasoona vizuri na kuona vizuri. Hapa kuna mazoezi rahisi sana unayoweza kufanya mwenyewe nyumbani. 1.Unaweza kutunza macho yako kwa kuyafunika. Kuwa kuongeza kidogo hapo moja, lakini umefanya kweli kulala usiku kwa kuyafunika kila siku, macho yanaweza kuboreka zaidi kwa kufanya mazoezi haya mchana, kwa mazoezi haya utatumia vidole. 1.funika macho 2.shikilia kope kwa vidole kila jicho 3 .Shikilia taratibu kwa sekunde 2 halafu achia, hakikisha hukandamizi kwa nguvu. 4.rudia mara 5 mpaka 10 5,ruhusu macho yako yatizame mwanga mara unapoachia taratibu. 2.Kuyaviringisha macho yako utaboresha afya ya macho. Kuyaviringisha macho yako wakati mwingine unafanya kama unayasumbua, lakini ukifanya kwa usahihi itasaidia kuboresha afya ya macho kwa kuona vizuri. 1.zungusha macho taratibu ku...
Picha
Utangulizi Katika sehemu ya 1 ya Moduli  Utunzaji katika Ujauzito , umejifunza kimsingi kuhusu muundo wa kimaumbile wa mfumo wa uzazi wa mwanadamu na jinsi unavyofanya kazi, awamu za kawaida za ujauzito na mabadiliko ya kuwezesha kubeba mimba, uchunguzi wa kijumla kuhusu jinsi mimba inavyoendelea na jinsi ya kutambua matatizo madogo. Katika sehemu ya 2 ya Moduli ya Utunzaji katika Ujauzito, utajifunza kuhusu kanuni za kimsingi za utunzaji maalum katika ujauzito. Kipindi hiki kitaanza kwa kueleza dhana na kanuni za utunzaji maalum katika ujauzito na tofauti za kimsingi baina ya huduma hii na mtazamo wa kitamaduni wa utunzaji katika ujauzito. Kipindi hiki kitaangazia vipindi vingine katika sehemu ya 2 ambavyo vyote huwa katika Utunzaji Maalum katika Ujauzito. Pia utajifunza malengo ya kila mojawapo ya ziara nne za utunzaji maalum katika ujauzito. Kipindi hiki kitahitimisha kwa hatua ambazo wewe binafsi na mama mjamzito mnapaswa kutekeleza katika kuzaa; mashauri kuhusu jambo la...

Mazoezi ya kuongeza nguvu za kiume

Picha
Mazoezi ya kuongeza nguvu za kiume Zingatia sana umhimu wa  mazoezi ya viungo . Bila kujishughulisha na  mazoezi ya viungo  kila siku itakuwa ni vigumu sana kwako kupona tatizo la  upungufu wa nguvu za kiume . Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji nguvu za kiume na uume wenye afya, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume. Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo liwe limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili. Nguvu za kiume  ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha  ‘Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’ . Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa ngu...