Rais Magufuli ametwaa tuzo nyingine tena

Rais Magufuli ametwaa tuzo nyingine tena ya jarida mashuhuri la Uingereza, African Leadership Magazine (ALM), akitwaa tuzo ya upande wa uongozi katika siasa na maendeleo Afrika ambapo katika eneo hilo amefuatiwa na Rais Ramaphosa wa A. Kusini.

Tuzo kutolewa Sandton, S.A Feb. 22, 2019.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA