Ukweli ni huu…
Tatizo si dawa unazotumia,
tatizo ni kutojua chanzo halisi cha changamoto yako.
Watu wengi wanateseka kwa miaka mingi kwa sababu
hawajawahi kufundishwa tatizo linaanzia wapi.
Ndiyo maana tumefungua darasa maalum la elimu ya afya ambapo utajifunza:
✔ Chanzo kikuu cha acid reflux na vidonda vya tumbo
✔ Vyakula vinavyoharibu tumbo bila kujua
✔ Njia za asili za kusaidia kurejesha afya ya tumbo
Mziwaziwa ni majani yenye majina mengi kulingana na unavyoitwa maeneo tofaut tofauti. Mti huu kama utakata jani lake unato utomvi kama maziwa.
Majani haya kama utatafuna na chumvi huweza kupooza maumivu ya vidonda vya tumbo, tumbo kukata nk.
Pia...
Chukua majani pichani ung'oe mzima na mizizi yake hakikisha umepata mwingi ujazo wa vikombe vitatu.
Weka katika sufuria tia vijiko 3 Hulba, kijiko kimoja habbatsouda
Weka maji ujazo wa lita 2.
Chemsha dawa yako mpaka uhakikishe nusu lita imepungua.
Chuja dawa yako baada kupoa.
Ihifadhi vizuri kwenye chupa ya chai
Tia dawa yako kwenye kikombe cha chai nusu na...
Utakunywa mchanganyiko huu kutwa mara 3.
Tumia dawa hii kwa muda wa siku 21.
Watu wote wanatumia kasoro watoto wachanga na wenye mimba changa.
Endelea kufuatilia page hii TMEDIA NEWS ili uendelee kujifunza jinsi ya kujitibu na kujikinga na magonjwa na changamoto mbalimbali za kiafya.
#
