Habari sanaa na michezo

Jumanne, 10 Machi 2026

T media news

4G SPARE RAMADHANI CUP 2026

 



Zawadi za mashindano ya 4g spare ramadhani cup 2026 ni kama ifuatavyo


_Mshindi wa kwanza atapata kombe la mashindano haya , Pesa tasilimu sh 500,000(laki Tano) jezi set moja ,pamoja na medali_


_Mshindi wa pili atapokea pesa tasilimu sh 300,000(laki tatu), jezi pamoja na medali_


_Mshindi wa tatu atapokea pesa tasilimu sh 200,000 ,jezi pamoja na mpira_


_mshindi wa nne atapokea tasilimu sh 100000 (laki moja),pamoja na mpira_


_Mchezaji Bora tsh 60000_


_Mfungaji Bora tsh 100000_


_Kipa Bora tsh 50000_


_Timu yenye Nidhamu 50000_


_Kocha Bora tsh 30000_



Nb jezi tutazitoa mapema sana pale tuu timu zikiingia nusu fainali timu zote nne zitakazo kua hatua hiyo ya nusu final  zitakabidhiwa jezi kutoka Kwa mdhamini mkuu wa mashindano


_LAKINI PIA MH MBUNGE WETU KAFITI W KAFITI ALIAHIDI KUONGEZEA ZAWADI YA JEZI NA MPIRA KWA KILA TIMU KUANZIA MSHINDI WA KWANZA MPAKA WA TATU_


Uongozi wa 4G SPARE RAMADHANI CUP, unapenda kutoa pongeza za dhati Kwa timu zote pamoja na mashabiki Kwa kuonyesha NIDHAMU ya hali ya juu sanaaa hivyo tunawaomba kuendelea hivyo hvyo mpaka mwisho wa mashindano yetu


       _Ahsanteni sana by THOBIAS, Mratibu mkuu wa mashindano._