Habari sanaa na michezo

Jumatatu, 9 Machi 2026

T media news

FAIDA ZA MCHAICHAI

  


Huu Mmea ni Mmea Mkubwa sana ktk sekta ya Afya.

Watu wengi wenye hekima wamelima mashamba makubwa ya mchaichai kwa ajili ya  tiba.


 Huu Mmea kuna Magonjwa unatibu ambayo hayatibiki kirahisi kwa dawa za kisasa.. ila yanakuja kutibiwa na mmea huu , ambao ni maarufu kwa matumizi ya chai


Mmea huu una virutubisho, madini na vitamn kama ifuatavyo 


Energy (Nishati)

1Wanga (Carbohydrates )

2 Protein (protini)

3  Fat  (Mafuta)

4 Folates 

5 Niacin (Vitamn B3)

6 Pyridoxine (Vitamn B6)

7 Riboflavin (Vitamn B2)

8 Thiamin (Vitamin B1)

9 Vitamin A 6 

10Vitamin C 

11 Madini ya Sodium 6 

12 Madini ya Potassium 

13 Madini ya Calcium 

14 Una madini ya Copper  (shaba)

15 Madini ya  Iron (chuma)

16 Madini ya Magnesium 

17 Pia madini ya Manganese 

17 Madini ya Selenium 

Na madini ya Zinc


Hivyo huu fanya mmea huu kuwa na faida kubwa mnoo mwilini


Ukianza kuchambua kila kimojawapo hapo , utajikuta mwili umejaa kila hitaji linalohitajika


FAIDA ZA KUTUMIA MCHAICHI


🌹 Ina sifa ya  Antidepressant


Matumizi ya Mafuta ya mchaichai huongeza kujistahi, kujiamini, matumaini, nguvu ya kiakili,.. Hii inaweza kusaidia sana kuondoa unyogovu kutokana na kushindwa katika kazi, maisha ya kibinafsi, wasiwasi , upweke, vilio, kifo katika familia, na sababu nyingine nyingi... Mafuta ya asili ya mchaichai ukijipaka tu hata kama ulikuwa na hofu , mshituko kama wa msiba , hali hiyo ikikutokea paka haya mafuta utakaa sawa


 🌹Kupunguza Uzito


Mchaichai una citral, ambayo ni bora dhidi ya fetma.. Inapunguza mkusanyiko wa mafuta ya tumbo na kukuza utumiaji wa nishati iliyohifadhiwa, ambayo husaidia kuzuia kupata uzito unaosababishwa na ulaji mbaya wa chakula bila mpangilio ,Mtu anakula mara tano , badala ya mara moja au mbili kwa siku  ,pia  huongeza oxidation ya asidi ya mafuta katika mwili. 


Ina sifa ya kupambana na Saratani


Citral ni  kemikali iliyo ktk Mchaichai, inaweza kuwa na ufanisi katika kuzuia ukuaji wa seli za saratani bila kuathiri seli za afya za mwili. Citral n nzur  katika kuzuia ukuaji wa seli za saratani ya ini  na kuzuia ukuaji zaidi wa seli za saratani..


🌹Huondoa Matatizo ya Kupumua


Mchaichai hutumiwa sana katika dawa ya Ayurvedic ... Huondoa madhara ya vidonge vinavyohusika na  katika kutibu kikohozi na baridi yabis . Lakin pia  vitamini C iliyoko ktk mchaichai , inasaidia katika kutoa unafuu kutokana na kuziba kwa pua, mafua, na matatizo mengine ya kupumua kama vile pumu ..


Hudhibiti Kisukari

Mchaichai ni Utafiti unaonyesha ni  kwa ajili ya kutibu kisukari aina ya 2. Citral iliyopo ktk mchaichai inasaidia  kudumisha viwango bora vya insulini na kuboresha uvumilivu wa glukosi mwilini na kuifanya kuwa bora kwa watu wenye kisukali aina ya 2


Mambo Mengine ambayo yanatibiwa na huu Mmea 


🌹Inasaidia kwenye mmeng’enyo wa chakula kama vile kuvimbiwa na gesi.

🌹Kusafisha mwili na kutoa sumu

🌹Kuboresha afya ya ngozi

🌹Kupunguza mafua na kikohozi 

🌹Inapunguza maumivu na kuvimba

🌹Huongeza Kinga za mwili 

🌹Huzuia Kuvu 

🌹Inatatua tatizo la kugombana Kwa mke na Mme

🌹Ni nzuri kwa magonjwa ya tumbo

🌹Ukiuchanganya na Mmea wa Mziwaziwa unatibu UTI sugu iliyoshindikaña 

🌹Mafuta ya mchai Chai ni mazuri kwa 


Mapunye, fangasi nk. Mafuta ya mchaichai ni dawa. kuna wakati watoto wanakuja na mapunye toka shule uko, wakati mwingine minyoo tu inakuletea fangasi au ndio mambo ya kujaribisha mitumba… unatoka na ugonjwa wa ngozi hapo au utangotango….


🌹Mchaichai una kiwango kikubwa cha Catechins  ambacho husaidia mishipa ya damu kuzalisha  Nitric Oxide  (NO), ambayo husaidia kutanua mishipa ya damu ikiwepo mishipa ya damu ktk uume.


🌹Pia mchaichai husaidia uzalishaji wa antioxidants ambazo husaidia kuondoa sumu mwilini..


🌹Mwanamke ukimchanganyia mme wako Chai ya Kijiko 1 karafuu + tangawizi + Mchaichai + Mdalasini+ Iliki


Mpe Kikombe 1 Asubuhi na Jioni baada ya wiki Mbili , Njoo Utoe Ushuhuda