Machapisho

IJUE HISTORIA YA KABILA LA WAKURYA|T MEDIA NEWS

Picha
Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za magharibi na mashariki mwa Mkoa wa Nyanza katika sehemu ya kusini mashariki ya Kenya. Mnamo mwaka 2005, idadi ya Abakuria ilikadiriwa kuwa 690,000, ikiwa ni 430,000 wanaoishi nchini Tanzania na 260,000 nchini Kenya. Lugha yao ni Kikuria. Abakuria ni wakulima na wafugaji, huku Abakuria wa nchini Kenya wakiegemea sana kwa kilimo nao wa nchini Tanzania wakiegemea sana ufugaji. Kilimo cha asili walikuwa wanalima ulezi mtama na viazi tu kwa ajili ya kutengeneza Togwa (obosara) na Pombe. Mazao mengine yalianza kulimwa miaka ya 1900  baada ya wajerumani kuhimiza kilimo. Wakurya hawapendi kutawaliwa wala kuonewa hivyo walikuwa na saiga lika ya vijana kwa ajili ya ulinzi na usalama hivyo utumwa haukuwaathiri sana. Ila kwa kupenda kwao vita walijiunga sana na jeshi K.A.R (King African Rifle) kupigana vita ya kwanza na ya pili n...

💔 Siri Nzito Ndani ya Hoteli: Kilio, Aibu na Tukio Lisilosahaulika Maishani | T MEDIA NEWS

Picha
Simu yangu ikaanza kuita, nikapiga hatua za haraka kwenda kuipokea huku nikimgonga kidogo muhudumu begani. Kitendo cha kuinama na kuiokota suruali yangu iliyokuwa chini ili kutoa simu mfukoni, ghafla taulo langu likafunguka na kudondoka chini huku muhudumu akibaki ananishangaa. ENDELEA Nilibaki nimeshika butwaa, akili yangu ikiwa imechanganyikiwa kwa sekunde chache. Sikujua nianze wapi—kuokota taulo au kupokea simu. Aibu ilinipanda ghafla, lakini simu iliendelea kuita bila huruma. Muhudumu alikuwa amesimama kama sanamu. Hakusogeza hata jicho, macho yake yakiwa yameganda kunitazama. Nilijaribu kujisitiri haraka kwa kuokota taulo, huku moyo wangu ukidunda kwa kasi isiyo ya kawaida. Hatimaye niliitoa simu mfukoni na kuona ni Rahma anayepiga. Nikapokea kwa sauti ya kawaida kadiri nilivyoweza kujizuia: “Hello baby…” “Baby, umeshaletewa chakula?” Rahma aliuliza kwa sauti ya upole. “Ndio baby,” nikajibu huku bado najisitiri kwa haraka. “Ok, mimi nimeshafika kwa bibi. Nikitaka kuja huko nitaku...

Jinsi ya Kuepuka na Kujizuia Kutapika Safarini

Picha
Safari ni hatua na kudhihirisha hilo leo katika Afya, tunakuletea njia kadhaa za kufanya pindi unapojisikia kutapika (kichefu chefu) uwapo safarini. Kitendo cha kutapika kinaweza kumtokea mtu yoyote na hii huchangiwa na hali ya hewa inapoingiliana na utokea kwa wasafiri wa majini na nchi kavu, pia hutokea mara nyingi kwa mtu ambaye hakuwahi au hajawahi kusafiri umbali mrefu. Ili uweze kuzuia hali hii uwapo sfarini basi huna budi kuepuka kula ovyo kabla ya kuanza safari na ndani ya safari, pia usile kula vitu vyenye sukari nyingi kwani vinaweza kuharibu koo lako kutoka na sukari kuzidi. Vile vile unashauriwa kuweka njiti ya kiberiti mdomoni ili kuzuia kutapika, na kama hitoshi lamba ndimu kila wakati kwani inakata kichefuchefu na kutapika haraka. Hivyo vyote vikashindikana na ukaona unahitaji kutapika basi muite muhudumu wa usafiri huo, ili akupatie mfuko wa rambo uweze kutapikie humo na ukimaliza hakikisha unafunga vizuri na kuweka sehemu husika na baada ya hapo safisha kinywa cha...

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU|T MEDIA NEWS

Picha
Sehemu ya pili( 02) Endelea Nayo Sarah chumbani kwake aliwaza  kwa muda sana akijiuliza  kama Wangesi anasimamisha jogoo lake hakuweza kupata jibu la  moja kwa moja maana wangesi alikuwa busy sana na maisha yake Kitu ambacho marafiki wa kiume walianza kumchukua kulingana na kutoungana nao katika suala la kufuatilia wasichana miezi ilienda na mwaka ulikaribia kuisha  Mtihani wa mwisho ulifanyika wa kuhitimu ufundi wangesi alikuwa mtu wa pili kwa ufaulu mzuri wenzake wote waliokuwa wakimcheka waliangukia pua hawakuweza kufauli mtihani ule  Sarah nae hakufanikiwa kujua ukweli kwa wangesi kama yuko sawa Baada ya mitihani kuisha wangesi alielekea nyumbani kwao huku akiwa na vyeti vizuri cheti cha udereva na utengenezaji magari alijisemea hapa malengo yangu yanaelekea kutimia sana maana njia hii nitahakikisha nafanya vitu vya maana . Wangesi alivyofika nyumbani akiendelea na kazi zake na alipokuwa akilima ilikuwa ni karibia na barabara sema tu ni bar...

SIMULIZ; MTOTO WA BOSS WANGU

Picha
Mtunzi: Bikora saidy Contact: 0742754991 SEHEMU YA KWANZA ( 01) Kuna msemo usemao usilolijua litakusumbua sana na ukilijua utatuzi wake hauhitaji nguvu sana maana itakuwa vyepesi kulikwepa au kuendana nalo Hii lilidhihirika kwa kijana Wangesi mtoto wa mzee Kamau aliyejikuta akiangukia katika dimbwi la maisha magumu sana na hakujua kipi cha kufanya ili aweze kutatua hali yake maana mzee wake alianza kumdai hela yake baada ya kufeli kidato cha nne  Huko nyumbani kwao kumbuka kuna watoto wengine husoma kwa shida sana na mzazi kupata ada ya kulipia inakuwa ni changamoto sana! Wangesi alisoma kwa shida sana alikuwa ni mtu mwenye ndoto zake za kufika mbali sana alitamani kufika chuo kikuu akiamini kuwa kufika huko ndio maisha yatakuwa yamenyooka alilia sana alipokuwa akiwaona wanavyuo wakivaa joho zao Huku akitamani na yeye awe miongoni mwao  lakini hali ngumu ya maisha nyumbani kwao ilimfanya ashindwe kuendelea na shule hali ya kuwa alimaliza kidato cha nne hakufa...

SMS ZA MAHABA MAZITO

Picha
Ni kitu muhimu sana katika maisha ya uhusiano kwani zinatia chachu na kumfanya mwenza wako ajihisi ni wa pekee katika kichwa chako,kwamba unampenda,unamkumbuka na unamjari sana.  hizi ziguatazo ni sms mbalimbali ambazo unaweza kumtumia mwenza wako asubuhi,mchana au usiku na hata kama umemkosea zipo sms ambazo zinaweza kukuwakilisha wewe kwa mpenzi wako namshukuru ALLAH kwa kuamka salama ,ni jambo la kumshukuru nawe kwa kuona siku nyingine,sauti za tawala masikioni mwangu,na ni furaha yangu kusikia u hali gani ......................... ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho usirudie,lakini pia jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi usiyo...

UKWELI KUHUSU KUKAA MUDA MREFU BILA KUFANYA TENDO LA NDOA NA ATHARI ZAKE KIAFYA NA KISAYANSI (UFAFANUZI WA KITAALAMU2026)|T MEDIA NEWS

Picha
Habari yako msomaji, leo nimeona ni muhimu kuzungumzia mada ambayo imekuwa ikizungumzwa sana katika jamii kwa namna tofauti tofauti, hasa mitandaoni na kwenye mazungumzo ya kila siku. Wapo wanaoamini kuwa kukaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa kuna madhara mengi makubwa kwa afya ya mwili na akili, lakini pia wapo wataalamu wanaeleza kwa mtazamo wa kisayansi kwamba si kila kinachosemwa ni kweli. Katika makala hii tutachambua kwa kina mambo yanayodaiwa na ukweli wake kiafya ili uweze kuelewa vizuri bila kuchanganyikiwa. 1. KUONGEZEKA KWA HASIRA NA MSONGO WA MAWAZO Watu wengine hudai kuwa mtu akikaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa huanza kuwa na hasira kwa mambo madogo. Kwa upande wa kisayansi, hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha kwamba kutofanya tendo la ndoa husababisha hasira. Hata hivyo, mwili unapokuwa na msongo wa mawazo, mabadiliko ya homoni yanaweza kuathiri hisia za mtu. Lakini msongo huo hausababishwi moja kwa moja na ukosefu wa tendo la ndoa, bali unawez...