Machapisho

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU|T MEDIA NEWS

Picha
Sehemu ya pili( 02) Endelea Nayo Sarah chumbani kwake aliwaza  kwa muda sana akijiuliza  kama Wangesi anasimamisha jogoo lake hakuweza kupata jibu la  moja kwa moja maana wangesi alikuwa busy sana na maisha yake Kitu ambacho marafiki wa kiume walianza kumchukua kulingana na kutoungana nao katika suala la kufuatilia wasichana miezi ilienda na mwaka ulikaribia kuisha  Mtihani wa mwisho ulifanyika wa kuhitimu ufundi wangesi alikuwa mtu wa pili kwa ufaulu mzuri wenzake wote waliokuwa wakimcheka waliangukia pua hawakuweza kufauli mtihani ule  Sarah nae hakufanikiwa kujua ukweli kwa wangesi kama yuko sawa Baada ya mitihani kuisha wangesi alielekea nyumbani kwao huku akiwa na vyeti vizuri cheti cha udereva na utengenezaji magari alijisemea hapa malengo yangu yanaelekea kutimia sana maana njia hii nitahakikisha nafanya vitu vya maana . Wangesi alivyofika nyumbani akiendelea na kazi zake na alipokuwa akilima ilikuwa ni karibia na barabara sema tu ni bar...

SIMULIZ; MTOTO WA BOSS WANGU

Picha
Mtunzi: Bikora saidy Contact: 0742754991 SEHEMU YA KWANZA ( 01) Kuna msemo usemao usilolijua litakusumbua sana na ukilijua utatuzi wake hauhitaji nguvu sana maana itakuwa vyepesi kulikwepa au kuendana nalo Hii lilidhihirika kwa kijana Wangesi mtoto wa mzee Kamau aliyejikuta akiangukia katika dimbwi la maisha magumu sana na hakujua kipi cha kufanya ili aweze kutatua hali yake maana mzee wake alianza kumdai hela yake baada ya kufeli kidato cha nne  Huko nyumbani kwao kumbuka kuna watoto wengine husoma kwa shida sana na mzazi kupata ada ya kulipia inakuwa ni changamoto sana! Wangesi alisoma kwa shida sana alikuwa ni mtu mwenye ndoto zake za kufika mbali sana alitamani kufika chuo kikuu akiamini kuwa kufika huko ndio maisha yatakuwa yamenyooka alilia sana alipokuwa akiwaona wanavyuo wakivaa joho zao Huku akitamani na yeye awe miongoni mwao  lakini hali ngumu ya maisha nyumbani kwao ilimfanya ashindwe kuendelea na shule hali ya kuwa alimaliza kidato cha nne hakufa...

SMS ZA MAHABA MAZITO

Picha
Ni kitu muhimu sana katika maisha ya uhusiano kwani zinatia chachu na kumfanya mwenza wako ajihisi ni wa pekee katika kichwa chako,kwamba unampenda,unamkumbuka na unamjari sana.  hizi ziguatazo ni sms mbalimbali ambazo unaweza kumtumia mwenza wako asubuhi,mchana au usiku na hata kama umemkosea zipo sms ambazo zinaweza kukuwakilisha wewe kwa mpenzi wako namshukuru ALLAH kwa kuamka salama ,ni jambo la kumshukuru nawe kwa kuona siku nyingine,sauti za tawala masikioni mwangu,na ni furaha yangu kusikia u hali gani ......................... ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho usirudie,lakini pia jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi usiyo...

UKWELI KUHUSU KUKAA MUDA MREFU BILA KUFANYA TENDO LA NDOA NA ATHARI ZAKE KIAFYA NA KISAYANSI (UFAFANUZI WA KITAALAMU2026)|T MEDIA NEWS

Picha
Habari yako msomaji, leo nimeona ni muhimu kuzungumzia mada ambayo imekuwa ikizungumzwa sana katika jamii kwa namna tofauti tofauti, hasa mitandaoni na kwenye mazungumzo ya kila siku. Wapo wanaoamini kuwa kukaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa kuna madhara mengi makubwa kwa afya ya mwili na akili, lakini pia wapo wataalamu wanaeleza kwa mtazamo wa kisayansi kwamba si kila kinachosemwa ni kweli. Katika makala hii tutachambua kwa kina mambo yanayodaiwa na ukweli wake kiafya ili uweze kuelewa vizuri bila kuchanganyikiwa. 1. KUONGEZEKA KWA HASIRA NA MSONGO WA MAWAZO Watu wengine hudai kuwa mtu akikaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa huanza kuwa na hasira kwa mambo madogo. Kwa upande wa kisayansi, hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha kwamba kutofanya tendo la ndoa husababisha hasira. Hata hivyo, mwili unapokuwa na msongo wa mawazo, mabadiliko ya homoni yanaweza kuathiri hisia za mtu. Lakini msongo huo hausababishwi moja kwa moja na ukosefu wa tendo la ndoa, bali unawez...

Kufanya Mapenzi Kwa Wiki Mara 3 Kunapunguza Kupata Shambulio La Moyo (Heart Attack) Kwa Asilimia 50%

Picha
Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima bila kupiga mambo yetu. Pia utafiti huo unasisitiza ya kwamba mwenye Kufanya Mapenzi killa siku anaondoa uwezekano wa kupata Heart Attack kwa Asilimia 100% ZIJUE FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI Kiafya Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75. Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani. Kuongeza mwendo wa damu Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji. Msuku...

HIZI Ndio sehemu 10 zenye Msisimko Mkali zaidi Kwenye Mwili wa Mwanamke|T MEDIA NEWS

Picha
Kila mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke au mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake ambalo likiguswa anakua taabani hivyo ni wajibu wa mwanaume kulitafuta na kuligundua eneo hilo. Mazoea ya kufanya mambo yaleyale kila siku kwa muda mrefu hufanya tendo hilo la ndoa lianze kua baya na huenda ikawa chanzo  cha mtu kuchepuka kutafuta ladha zingine. Kitaalamu katika sayansi ya binadamu kuna maeneo kadhaa ambayo wanawake wote wakiguswa hupata msisimko mkali lakini msisimko hutafautiana kutokana na mwanamke husika kama ifuatavyo. 1. Kichwani; juu ya kichwa cha binadamu kuna mishipa mingi ya damu na ile ya fahamu hivyo maeneo haya yakishikwa homoni kama oxytocin na serotoinin huachiwa mwilini na kuleta msisimko mkubwa. Jinsi ya kufanya; mshike kwanzia nyuma ya sikio kisha ingiza vidole katikati ya nywele kama unamkuna kichwa bila kutumia nguvu. 2. Sikio; sikio ni sehemu yenye mi...

NJIA ZA ASILI ZA KUONDOA SUMU MWILINI KWA KUTUMIA VINYWAJI VYA MATUNDA NA MBOGA (DETOX BORA YA AFYA 2026)

Picha
Sumu mwilini ni hali inayotokea pale ambapo mwili unajikusanyia taka (toxins) kutokana na vyakula tunavyokula, mazingira tunayoishi, au matumizi yasiyo sahihi ya dawa mbalimbali. Sumu hizi zinaweza kuathiri afya ya mwili kwa kusababisha uchovu, kupungua kwa nguvu, matatizo ya ngozi, na hata kushusha kinga ya mwili. Vyanzo vya sumu mwilini ni vingi, ikiwa ni pamoja na: Vyakula vya mafuta mengi na vilivyosindikwa Sukari kupita kiasi Vinywaji vyenye gesi Dawa zisipotumika kwa usahihi Hewa chafu na mazingira yasiyo safi Habari njema ni kwamba mwili una uwezo wa kujisafisha, lakini unaweza kusaidiwa zaidi kwa kutumia vyakula na vinywaji vya asili vinavyojulikana kama detox drinks. Katika makala hii, tutaangalia vinywaji bora vya asili vinavyosaidia kuondoa sumu mwilini na kuimarisha afya kwa ujumla. 1. JUISI YA MCHANGANYIKO WA TANGO NA SPINACHI Juisi hii ni mojawapo ya detox yenye nguvu kubwa. 👉 Faida zake: Husaidia kusafisha damu Huondoa sumu mwilini Hupunguza uvimbe wa tumbo Husaidia ng...