
Idara ya uhamiaji yatakiwa kuimarisha misako na doria.
w7/05/2024 07:23:00 PMSerikali imeitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuimarisha Misako na Doria za kuwabaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata sheria za nchi pamoja na uhalifu unaovuka mipaka.Hayo yamesemwa leo Julai 5, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo...