Habari sanaa na michezo

Jumanne, 10 Machi 2026

T media news

Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir, ametoa wito wa moja kwa moja kwa United Nations na jumuiya ya kimataifa, akiomba hatua za haraka zichukuliwe ili kusitisha mashambulizi ya makombora kutoka Iran


 Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir, ametoa wito wa moja kwa moja kwa United Nations na jumuiya ya kimataifa, akiomba hatua za haraka zichukuliwe ili kusitisha mashambulizi ya makombora kutoka Iran yanayoangukia katika ardhi ya Israel.


Katikati ya mvutano unaozidi kuongezeka, Ben-Gvir ameonya kuwa mashambulizi hayo ni tishio kwa utulivu wa eneo zima, na yanahitaji uingiliaji wa kimataifa ili kulinda maisha ya watu wasio na hatia na kuzuia hali hiyo isizidi kuwa mbaya.


Hii inakuja wakati Iran ikiendelea kuongeza mashambulizi yake ya makombora, jambo linaloendelea kujaribu uwezo wa ulinzi wa Israel na kuvuta umakini wa dunia kuhusu mgogoro huo.


Swali ๐Ÿ‘‰ Je, Israel imeshindwa Kukabiliana na Iran kiasi kwambwa inaomba Msaada wa umoja wa mataifa kuinisuru?


Ifahamike kua hata hivyo zipo Nchi Mbili zinazo pigana dhidi ya Nchi moja, imekuaje tena wao ndio wanakua walalamikaji wakati ndio Wengi?