Habari sanaa na michezo

Jumanne, 10 Machi 2026

T media news

Tazama wayahudi wakiwa katika Foleni ya kuondoka Katika nchi yao.


 Iran imeendelea kusisitiza kwa kutuma ujumbe wa jumla na kwa mtu mmoja mmoja katika simu za Raia wa Israel kuwa Israel si sehemu salama.


"Yeyote anayetaka kuishi aondoke, Kwa sasa Radar zote zilizokua zinawalinda zimefa na shelter yatakuwa makaburi Yao".


Baadhi ya maelefu ya Raia wameanza kutii maagizo kwa kuondoka Rasmi ili kupisha Amri ya Iran.


Ifahamike Iran ilisema Israel itafutika katika uso wa dunia na nchi itabaki kua ya wenyeji wa eneo husika.


Picha

Picha ikimuonyesha raisi wa Iran Masoud Pezeshkian akiwa na makamanda wa juu wa jeshi na idara ya usalama wa Taifa ya Iran 

Picha hii ilipigwa mwaka jana 2025

Hadi kufikia leo ambao wapo hai ni raisi Masoud Pezeshkian na kamanda wa kikosi cha Quds Ismail Qaani , wengine wote wameuawa na Israel