Habari sanaa na michezo

Jumanne, 10 Machi 2026

T media news

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anaweza kuwa amejeruhiwa au kufariki.


 Kulingana na makadirio ya idara ya Kiebrania ya shirika la habari Tasnim, tetesi zisizothibitishwa zinaendelea kuibuka kwamba Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anaweza kuwa amejeruhiwa au kufariki.


Baadhi ya dalili zinazochochea tetesi hizi ni:

1️⃣ Video yake ya mwisho iliyotolewa kwenye kituo chake binafsi ni ya takriban siku 3 zilizopita, na picha zake za mwisho ni za takriban siku 4 zilizopita.


2️⃣ Kabla ya video hiyo, kwa kawaida alikuwa akitoa angalau video moja kwa siku, wakati mwingine video tatu. Kukosekana kwa video yoyote kwa siku 3 kumeongeza mashaka.


3️⃣ Vyanzo vya Kiebrania vimeripoti kwamba usiku wa Machi 8, usalama uliongezwa sana karibu na nyumba ya Netanyahu, hasa kuzuia mashambulio ya droni.


4️⃣ Ziara ya Kushner (mkwe wa Donald Trump) na Witkoff (mjumbe maalum wa Trump) nchini Israel iliyo pangwa kufanyika jana ilighairiwa.


5️⃣ Ikulu ya Élysée ilitangaza mazungumzo ya simu kati ya Rais Emmanuel Macron na Netanyahu, lakini haijathibitisha muda au maelezo ya mazungumzo hayo.

Hata hivyo, tetesi hizi bado hazijathibitishwa rasmi wala kukanushwa.