Habari sanaa na michezo

Jumanne, 10 Machi 2026

T media news

Iddo Netaanyahu, kaka yake Benjamin Netaanyahu amepoteza maisha.


 

Alichomwa moto akiwa hai nyumbani kwake.


Kombora la balestiki liligonga moja kwa moja nyumbani kwake.

Vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vimeripoti madai kwamba ndugu wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anadaiwa kuuawa baada ya shambulio la makombora ya Iran lililolenga nyumba ya familia yake.


Taarifa hizo zilitolewa na mchambuzi wa kijeshi wa zamani wa Marekani, Scott Ritter, wakati akizungumza kwenye kipindi cha Sanchez Effect. Ritter alidai kuwa kombora la Iran lilipiga moja kwa moja makazi ya Netanyahu na kusababisha kifo cha ndugu yake, Iddo Netanyahu.