HABARI SANAA NA MICHEZO

Jumanne, 10 Machi 2026

T media news

FAHAMU HILI KUTOKA NDANI YA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN .

 


1- Iran ipo miongoni kwa nchi 10 zilizoelimika zaidi duniani ambapo kiwango cha Wasomi ni kati ya 90-98% imo ndani ya 10 bora. 


2- Wanasayansi na Wahandisi asimilia 60 ni Wanawake, hata hizi silaha tunazosifia nyuma yake kuna mikono ya Wanawake wengi ndio nchi yenye Nuclear Scientist wengi zaidi Wanawake.


3- Wahitimu takribani asilimia 70 wa Vyuo Vikuu nchini Iran ni Wanawake.


4- Watoto wadogo ambao wameelimika ama wanahudhuria shule ni asilimia 98. 


5- Nchi yenye Wasomi wengi zaidi wa kiwango cha PhD duniani wapo nchini Iran. 


6- Iran ndioc yenye Viongozi wengi wa Serikali wenye elimu ya PHD duniani, Elimu ni kigezo kikubwa ili uwe Kiongozi.