HABARI SANAA NA MICHEZO

Jumanne, 10 Machi 2026

T media news

Mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo mbalimbali



Mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya Mwanza imesababisha madhara katika maeneo mbalimbali ikiwemo eneo la Makuyuni ambapo baadhi ya Watu imelazimika kuokolewa kwa kubebwa kutoka kwenye maeneo waliyokuwemo huku pia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiendelea na jitihada za kusaidia Wananchi ambao nyumba zao zimejaa au kuzingirwa na maji, tunaendelea kufuatilia...