Hii ni Siri, Za chini chini, hawataki watu wajue
Inavyosemekana mkubwa (Trump) kamuinulia mkonga Mkubwa mwenzake Xi wa China kumuomba msaada wa kutokea.
China ni Mshirika wa karibu wa Irani
XI nae alivyo mshenzi kuna vitu kaviomba kwa Trump.
Asaidii Bure bure tu.
Kampa ratiba wakutane Beijing China mwezi wa Nne ili ampe mlango wa kutokea.
jana Irani kaendeleza kurusha vinu keuelekea Israel, Bahariani na Kuweiti.
amelenga maeneo 126 ikiwemo Bandari ya Haifa, vituo vya mafuta vya Baharian na kambi za kijeshi za marekani.
Kamanda wa jeshi la Iran (AL-Mohamed) amesema bado hawajagusa kombola lolote walilozalisha kuanzia 2013.
Yani makombora yanayotumika hivi sasa yalitengenezwa miaka ya 2012 kushuka chini. na yalitumia teknolojia ndogo ukilinganisha na ya miaka ya hivi karibuni
Amesisitiza kwamba Irani Inauweuwo wa kupigana hii vita katika makali haya haya kwa miezi 6 mfululizo bila kupumzika wala kuomba Poo.
Amesema vita kwao ni rahisi kama kunywa glasi ya maji Nyumbani baada ya kuhisi hasira au muhemko.
Unakumbuka Jeshi la IRGC liliweka katazo kupita kwenye mlango wa Bahari wa Hormozi, sasa jana Meli iliyokua imepeperusha bendera ya India๐ณ๐ช imekutana na Cha Mtema kuni.
Mmarekani na Washirika wake wameendelea kuishambulia Iran Juu ya ardhi kupitia anga.
China na Urusi zimeapa kumlinda Mojtba Khamnei.
Kiongozi mpya huyu wa Irani anayerithi mikoba ya Baba yake aliyeuawa na Marekani kikatili. Ana misimamo na ni thabiti.
Trump amesema amesikitishwa na baraza la maulamaa wakuu wa Kiislam kumpistisha mtoto wa Khamenei kuwa kiongozi mpya.
Hajafurahishwa na itapelekea matatizo waliyojaribu kuyatatua kujirudia tena.
Je Mojtaba Khamenei atasimama kwa muda gani.
