SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 10 Januari 2018

T media news

Christopher Ole Sendeka Kikaangoni...Kamati ya Bunge Kuhumhoji kwa Kauli Zake

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge itachunguza na kumhoji Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka kuhusu kauli yake inayodhalilisha Bunge