niligusa meza na vinywaji vilivyokuwa kwenye meza
vyote vikamwagika ,wale jamaa wenye vinywaji
vyao walisimama na kunifuata huku wakinikwida
shati
mawazo yote ya kwenda kumfuta davina yalitoka
wale jamaa walizidi kunikunja shati huku wakitaka
nilipe vile vinywaji
"ww dogo mbona unamwaga vinywaji vya madon
aliongea mmoja wao
"samahani bro ni bahati mbaya
"hakuna cha bahati mbaya njia yote hiyo uioni
alitokea mmoja kwa nyuma na kunipiga ngumi ya
nguvu shavuni ,ngumi ile ilipelekea mpaka
kuanguka chini na damu kunitoka mdomon na
puani ,nililala pale chini huku nikiugulia maumivu
sikuwa na nguvu ya kupigana nao nilisimama na
kujifuta damu kwa shati langu huku nikiwa naona
kizunguzungu ,club nzima ilinizunguka kwa
kuangalia tukio lile
davina alikuja mpaka nilipokuwepo na kunishika
mkono huku akinisaidia kunifuta damu zilizokuwa
zinanitoka
"davie nn kimetokea aliniuliza davina
nilishindwa kumjibu kutokana na mumivu
niliyoyapata , yule jamaaa alinisopgerea na kutaka
kunipiga tena lakini davina alimzuia
"ebu mwache huko
"nimwache wapi alipe bia zetu bora hivyo
tunambeba
"kwani hizo bia zenu shilingi ngapi
"elfu 30
"sasa hizo ndio umpige mwezenu
davina alitoa zile elfu 30 na kuwalipa
"shikeni hizo pesa zenu aliwapa huku akiwatupia na
kisha kunivuta mimi na na kunipeleka chooni
"pole sana davie
"asante sana
alichukua kitamba chake na kuanza kunifuta DAMU
puani na mdomon
"aaaaaaaaash nilamika
"ooh pole nimekumiza
Yaah
aliendelea kunifuta kwa taratibu wakati akiendelea
macho yetu yaligongana na kusababisha kumtaza
kwa makini na yy alizidi kunitazama huku midomo
yetu ikisogereana huku ikitaka kugusana
midomo ilipokaribiana alikwepesha mdomo wake na
kutazama pembeni kwa aibu ya kike
kwa kuwa shati langu lilikuwa limelowa damu
tuliamua kuondoka nyumbani na kumuacha john
yeye akiwa club
niliodoka na davina akiwa na gari la baba yake na
kwenda moja kwa moja mpaka kwao ,tuliingia
ndani na kumkuta dada yake akiwa sebureni na
wazaz wake kwa kipindi hiko walikuwa wamesafiri
"vp mbona leo mapema huko club aliuliza dada
yake
"hakuna leo tumeamua kuja kumalizia sikukuu
nyumbani
"na vipi mbona mwenzio amelowa damu
" amejigonga ukutani
" eeh skyboy karibu home aliongea dada yake
kunikaribisha mimi
"asante sana nilimjibu
"ok dada sisi tupo chumbani
tuliingia chumbani mwake na kukuta chumba
kizuri kilichopambwa vizuri nilienda moja kwa moja
na kwenda kukaaa kwenye kitanda chake
" davie karibu nyumbani
"asante sana una chumba kizuri
"mbona cha kawaida
alinyanyuka na kwenda kuwashaa television na kuja
kukaa pale kitandani
"vua ili shati si unaona lilivyochafuka
"nililivua taratibu na kubaki kifua wazi
aligandisha macho yake kifuani mwangu na kuanza
kuniangalia kwa jicho la huba nami nilimwangalia
usoni
macho yetu yaligongana na kusababisha kila
mmoja wetu kupata hisia na mwenzake ,safari hii
nilipeleka mdomo wangu taratibu na nikashanga
akiupokea
tulianza kubadilisha mate huku kila mmoja
akipeleka mikono yake kwenye mwili wa wenzake
na kuanza kuchezeana viungo
alikuwa na joto kali ambalo lilisababisha mwili
wangu usisimke zaid ,nilizidisha kumchezea na
huku nikimvua kiblauzi chake cha juu na
kumwacha wazi
alikuwa na chuchu zuri zilizosimama vizuri
nilipeleka ncha za ulimi wangu na kuanza
kuzinyonya taratibu
aaaaaaaaaaaaaash aaaaaaaaaaaaaaaash alilamika
lakini nilizidi kuzinyonya na huku nikipeleka mkono
wangu chini na kuivua sketi yake taratibu
nilipoivua nilkutana na umbo nzuri na mapaja
yaliyoshiba vizuri huku aikiwa amevaa bikini na
kiunoni akiwa na CHENI gold
nilipeleka ulimi wangu sikioni mwake na kuanza
kunyonya masikio kwa taratibu huku nikimpuliza
nilimlaza chali na kuanza kuchezea cheni ile kwa
madoido
wakati huo rungu langu lilikuwa
hewani ,alinisukuma na kuniangusha pembeni na
kisha yeye kuja kwa juu
alinivua taratibu suruali yangu na kwa kuwa
alikuwa mgeni wa mapenzi alisimama na kwenda
KUCHUKUA asali na kuipka kwenye rungu langu
na kuanza kunyonya kwa taratibu huku mikono
yake ikinipapasa tumboni mwangu
mmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhh nililamika
huku nikichezea nywele zake na kumkandamiza
kichwa aendelee kunyonya
wakati akiwa ananyonya nilipeleka macho yangu
mlangoni na kumkuta dada yake akiwa
anatuchungulia huku akizibinya chuchu
zake ........itae...