SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 13 Novemba 2017

T media news

Lulu Diva Awatupia Dongo Waliokuwa Wanamwita Gume Gume.....

VIDEO Queen aliyegeukia kwenye Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, amefunguka kuwa, wale wote waliomuita gumegume kipindi cha nyuma, sasa anawacheka kwa dharaaau!

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Lulu Diva alisema kuwa, wakati anaanza kujiingiza kwenye masuala ya uhusiano wa kimapenzi na jamaa yake aliyeko naye sasa hivi (hakumtaja), wengi walijua hawezi kuwa na mwanaume huyo muda mrefu.

“Waliokuwa wakiniita gumegume, siwezi kukaa na mpenzi mmoja kama nilivyodumu na mpenzi wangu, nawacheka tu kwa dharau,” alisema Lulu Diva.
Stori: Imelda Mtema, Dar