Waswahili wanasema, “zege halilali” na ndiyo mambo yalivyokuwa Dodoma maana Michael Wambura ameshinda nafasi ya makamu rais wa TFF na baada ya hapo, tayari ameapishwa rasmi.
habari michezo na burudani