Waziri wa viwanda na biashara Mhe Charles Mwijage Amesema Kuwa dhana ya viwanda ni pamoja na mtu mwenye kuwa na uwezo wa kumiliki hata cherehani nne na akajisajili basi huyo atafahamika kuwa anamiliki kiwanda.
Je wewe unamtazamo gani juu ya hili...!!!?