SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 20 Februari 2017

T media news

TOFAUTI KATI YA MKE NA MCHEPUKO.


1.Mke ni kama TV na mchepuko ni kama simu. Nyumbani unaangalia TV lakini ukitoka unatoka na simu.
2.Mara chache unafurahia TV lakini muda mrefu unacheza na simu.
3.TV ni bure kwa maisha yako,lakini simu kama hujalipia hupati huduma.
4.Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani,lakini simu ni nzuri,nyembambĂ  na rahisi kubeba.
5.TV ina remote lakini simu haina.
6.Unaweza kununua TV mara moja ukatumia kwa kipindi kirefu lakini simu unabadilisha kulingana na fasheni.
7.Mwisho na kuzingatia,"TV HAINA VIRUSI LAKINI SIMU INA VIRUSI" Kuwa makini mpendwa.