A. *UCHAGUZI MDOGO WA SERIKALI ZA MITAA WILAYANI KASULU LEO TAREHE 19/2/2017*
MITAA ILIYO FANYA UCHAGUZI NI MINNE
Matokeo kama ifuatavyo
1. Kataya ya H/juu mtaa wa Nyakelera CCM 202 na ACT 80
2. KATA ya Nyumbigwa mtaa wa Tumaini CCM 79, Chadema 65 na ACT 5.
3. KATA ya RUHITA mtaa wa mungoma CCM 48 na ACT 5.
4. KATA ya Murusi murusi mtaa wa Kwizera CCM 68 na NCCR 4.
*CCM IMESHINDA MITAA YOTE MINNE....*
B. Pia Jana Pemba ulifanyika uchaguzi mdogo wa udiwani CCM imeshinda pia
C. Uchaguzi wa serikali za vitongoji.
CCM imekomba vitongoji vyote Bagamoyo