"Wapeni nafasi wafuasi wenu wajiendeleze kielimu"
"Ulimwenguni majeshi yamebadilika sana,tusitegemee Jeshi LA kisasa kupatikana kwa kutegemea kozi za kijeshi pekee,lazima vyote vichanganywe. Elimu ya kiraia ni ya msingi sana kwa Jeshi LA kisasa"
"Wanajeshi wapewe uhuru wa kiuchumi,zamani gari waliendesha maafisa wakuu lakn Leo askari mdogo anaendesha gari"
"Kila mmoja alinde amani sehemu alipo na kamwe mwanajeshi usiyumbishwe na maneno ya wanasiasa wenye uchu,ubinafsi na madaraka"
"Wakati mwingine kumfukuza mtu kazi sio suluhisho,busara zaidi zitumike"
"Naondoka nawaacha ktk hali sio nzuri sana lakini pia sio mbaya sana kulingalisha na nilivyowakuta,sio haba Kuna chochote kitu nimewaachieni"
Gen. DA. MWAMUNYANGE 27JAN17 @NSHQ