SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 21 Februari 2017

T media news

Hivi Ndivyo Mapumziko ya Lowassa Yalivyotibuliwa na Mbowe..!!!


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mhe.Edward Lowassa amekatisha mapumziko yake Kijijini Monduli na kurudi DSM kwa lengo la kumuwezesha kufuatilia kwa karibu suala la Mwenyekiti wake Mhe. Freeman Mbowe.

Lowassa alikuwa Monduli katika mapumziko mafupi. Anatarajia Kuwasili leo jumanne asubuhi.

source:John Mrema