SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 5 Novemba 2016

T media news

TAARIFA ZA JESHI LA POLISI KUHUSU KIFO CHA THOMASI MASHALI,WATUHUMIWA WAKAMWTWA


 

TV inae kamishna wa kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro akiongelea kuhusu waliomuua bondia maarufu wa Tanzania Thomas Mashali aliyezikwa juzi Kinondoni Dar es salaam.

Sirro amesema ‘Thomas Mashali ambaye ni marehemu kifo chake kimetokana na kipigo na inaonekana siku ya tukio alikua na ugomvi na vijana kule Kimara, inaonekana walikua na chuki ya muda mrefu kwahiyo vijana wa kihuni wapatao kumi na kitu ambao walimshambulia kwa mawe‘

Kupata taarifa yote ya Polisi unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini