SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 5 Novemba 2016

T media news

MAGARI YA KIFAHARI YA MTOTO WA RAIS YAKAMATWA

Equatorial Guinea: Waendesha Mashtaka nchini Uswisi wameyakamata magari 11 ya kifahari ya Mtoto wa Rais ambaye pia ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Teodorin Obiang NguemaMagari hayo yamechukuliwa sababu anatuhumiwa kwa rushwa na utakatishaji fedha
Miongoni mwa magari hayo ni gari la Porsche la thamani ya zaidi ya $830,000 (£667,000) na Bugatti Veyron linalouzwa $2m (£1.7m).