SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 7 Septemba 2016

T media news

Poroko wa Kanisa Katoliki Rombo Awachapa Viboko Waumini Baada ya Kulidharau Kanisa


Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ulumi Jimbo la Moshi wilayani Rombo, Padre Peter Twamba ameawaadhibu kwa kuwatandika viboko mbele ya altare kundi la waamini kwa kwa madai ya kulidhalilisha Kanisa Katoliki.