SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 7 Septemba 2016

T media news

Mwanaume Amuuwa Mkwewe Baada ya Kugundua Anachepuka na Jirani

MUKONO, UGANDA: Mwanaume mmoja amemuua mkewe kwa kumkatakata na mapanga akimtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yao.

Mtuhumiwa amedai kuwa mkewe alikuwa na tabia ya kwenda kuomba nyanya kila siku kwa jirani na alishamkataza