SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 22 Agosti 2019

T media news

Njia 8 rahisi za mazoezi ya macho, ili kutunza macho yako yawe na afya

Daktari yeyote atakuambia kwamba kutunza macho ni vizuri, na kuyafanyia mazoezi macho yatakuwa na afya, mazoezi mengine yataongeza kuona, mengine yanasaidia kama kuchoka kwa muda, bado mengine yatasahihisha macho yasoona vizuri na kuona vizuri.

Hapa kuna mazoezi rahisi sana unayoweza kufanya mwenyewe nyumbani.

1.Unaweza kutunza macho yako kwa kuyafunika.



Kuwa kuongeza kidogo hapo moja, lakini umefanya kweli kulala usiku kwa kuyafunika kila siku, macho yanaweza kuboreka zaidi kwa kufanya mazoezi haya mchana, kwa mazoezi haya utatumia vidole.

1.funika macho
2.shikilia kope kwa vidole kila jicho
3 .Shikilia taratibu kwa sekunde 2 halafu achia, hakikisha hukandamizi kwa nguvu.
4.rudia mara 5 mpaka 10
5,ruhusu macho yako yatizame mwanga mara unapoachia taratibu.

2.Kuyaviringisha macho yako utaboresha afya ya macho.



Kuyaviringisha macho yako wakati mwingine unafanya kama unayasumbua, lakini ukifanya kwa usahihi itasaidia kuboresha afya ya macho kwa kuona vizuri.

1.zungusha macho taratibu kushoto katika duara
2.rudia mara 5 mpaka mara 10
3.zungusha macho taratibu kwenda kulia katika duara
4 rudia mara 5 mpaka mara 10

3.Kuangalia kwa upande,



Tunaangalia upande wa kushoto na kulia muda wote, lakini unweza kuwa unageuza kichwa zaidi kuliko kutumia macho yako kufanya hivyo. Na macho yako bado yanahitaji mazoezi ili kufanya vizuri zaidi

1.kaa au baki umesimama kwa ajili ya zoezi hili
2.Angalia mbali kulia kadri unavyoweza lakini usiweke mkazo zaidi wa macho.
3.shikilia mtazamo wako kwa sekunde 5 mpaka 10
4.angalia mbali kushoto kadri uwezavyo.
5 angalia kwa muda wa sekunde 5 mpaka 10
6.tazama nyuma kwa dakika 2 kwa macho yote
7.Rudia mara 10 zoezi hili.

4.Angalia kimakengeza.



Kujaribu kutazama kama una makengeza , unaweza kusikia maumivu kidogo, na hio hufanya watu wacheke sana. Lakini unapofanya hivi unaboresha uoni wa macho yako.

1.Chukua kitu kama kalamu ili kuingalia
2.shikilia hicho kitu kwa urefu wa mkono mbele ya uso wako
3.Kilete hicho kitu karibu na pua, taratibu unapoweka macho yako kuona hicho, pande zote uweke
4.Baada ya kukaribia pua, taratibu rudisha kwenye urefu wa mkono
5.rudia mara 5 mpaka 10.

5.Kutazama kwa kushangaa , utafanya macho yako yawe na afya.



Unajua unapopata mshangao, unakuwa na macho makubwa ya mtu mwenye makengeza unaposhanga kitu? Imegeuka kuwa kutazama kwa namna hio kunaleta afya ya macho.

1.toa macho kama vile umeona kitu cha ajabu mbali sana
2.toa macho kwa sekunde 5
3.fungua macho yako yawe makubwa kabisa uwezavyo.
4.abha macho wazi kwa sekunde 5
5.rudia mara 10.

6.Tumia mikono yako kufunika macho yapate joto.



Kama unaona kusumbuka sana na macho kama kusinzia , mwelekeo wa kuchoka, jaribu haya mazoezi.

1.weka mikono yako yote juu ya macho ili ngozi yake ipate joto
2.Weka taratibu mikono yako usikandamize
3.shikilia kwa sekunde 5
4.Rudia mara 5.

7.Kurudia kulenga inasaidia uchovu au mzigo wa jicho.



Watu wengi wanafanya kazi za computer siku hizi, na hakuna siri kwamba screen inaweza kuchosha macho sana . kama ukikuta macho yako yanachoka au mwonekano wa jicho lako kuwa na giza kidogo, ni wakati mzuri wa kufanya haya mazoezi.

1.angalia mbali na screen yako, au kaa mbali nayo.
2.chukua kitu weka mbali na wewe kama feet 25 mpaka 30 kutoka kwako, hakikisha macho yote yako kwenye line moja.

3 kwa kuangalia kitu hicho ulichochagua, weka kidole gumba chako mbele ya uso wako kwa urefu wa mkono na uangalie hicho.

4.weka kidole gumba chini, na tazama kitu hicho kilicho umbali wa feet 10 kutoka kwako.
5 sasa badilisha kitu hicho kutoka feet 25 mpka 30
6.weka kidole gumba nyuma ya uso wako na uangalie tena kwa urefu wa mkono
7 rudia mara 5 mpaka 10.

8.Funika macho kabisa.



Kama kazi yako inakubidi ukae masaa 8 kwenye screen, hujapata usingizi wa kutosha wa kutosha. Katika macho yako kuna kazi zaidi, mara nyingi unatakiwa mazoezi ya kutosha ili kuboresha macho yako yawe na afya ni kufunika kwa dakika chache, hata kama huendi kulala, ni kama unapumzisha macho, itasaidia kupunguza mzigo kwenye macho yako.

1.Zima computer, na ondoa kiti kwenye mwanga wowote

2.Jifunze nyuma ya kiti chako, au weka mto kichwani pako ili kujisaidia kulaza kichwa vizuri

3.funika macho

4 acha macho yakiwa yamefunikwa kwa muda wa dakika 5 mpaka 10

5 rudia mara 5 kwa siku.

Mara zote nakuwa nipo kwenye screen, na hicho kinaumiza macho yangu, nahitaji kutunza

Macho yangu yawe na afya.

shirikisha na wengine makala hii ili wafaidike.