SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 22 Agosti 2019

T media news

PUNGUZA UZITO BILA GHARAMA KUBWA



WAKATI MWINGINE JUICE YA UKWAJU NZITO INAWEZA KUKUTOA HUKO USIKOPENDA KUNAKOKUFANYA UKOSE RAHA....

MAHITAJI YAKE NI KAMA IFUATAVYO

1- Ukwaju robo kilo uliomenywa

2- Limao moja la wastani

3- Maji lita moja

4- Rojo la tende nusu kikombe Au asali vijiko vitatu

JINSI YA KUANDAA

Ni rahisi sana chukua sufuria yako weka ukwaju na maji kisha bandika jikoni uchemke dk 15-20 kusaidia kulainika haraka. Koroga wakati ukiwa unachemka ili utoke vizuri.

Baada ya Hapo Ipua Subiri upoe kisha utoe mbegu za ukwaju na uchuje... Kamulia limao lako kisha weka Asali Au tende kama nilivyoelekeza koroga na uandae tayari kwa kunywa...

Ukiishakunywa hii kitu pumzika tu home Usije pata shida safarini huko...maana unatakiwa kuinywa NZITO hivyohivyo ili ifanye kazi vizuri...

Kwa maelezo
Wasiliana na Doctor Seifu.