SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 19 Machi 2017

T media news

Waziri Mkuu Majaliwa Awasili Mauritius

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiogozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mauritius, Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo wakati alipopokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Sir Seewoosagur Ramgoolam nchini Mauritius kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Africa mjini Port Luis kuanzi Machi 20, 2017.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mauritius, Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Sir Seewoosagur Ramgoolam nchini Mauritius kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Africa mjini Port Luis kuanzi Machi 20, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mauritius, Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Sir Seewoosagur Ramgoolam nchini Mauritius kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Africa mjini Port Luis kuanzi Machi 20, 2017. Kulia ni mkewe Mary.