Wewe ni Rais mwenye nia njema sana na nchi hii....!! Lakini Kuna baadhi ya watu ndani ya serikali yako wanakuangusha....!!! Serikali haipo kama timu.... !! Ni kama vile ndani ya Serikali Kuna watu wanatamani mambo yaharibike ili wafurahi.....(maana tunawajua uwezo wao lakini hawatendi kulingana na uwezo wao) Naona ndani ya Serikali kuna watu hawapendani.....!! Nawaona baadhi ya watu ni kama vile wamesusia nafasi zao......!!! Naona kama lengo la wengi uliowapatia nafasi ilikuwa ni kuchuma na sasa wanakuona kama kikwazo kwenye malengo yao.....!!! Na pia wale wanaotenda kulingana na kasi yako wanaonekana ni wakuda machoni mwa viongozi wenzao....!!
#mawazo_ya_mawazo - sasa muda umefika wa kuipanga upya serikali yako.... Sasa umeshajua ni nani mnafiki na nani mkweli..... Sasa umeshajua ni nani anaiweza nafasi uliyompatia na nani haiwezi...... Ni muda sasa wa kuwapiga chini bila kujali majina yao.... Ni muda sasa wa kufanya kazi bila kuangalia wala kukumbuka kama 2020 Kuna uchaguzi.....(sio lazima utumike miaka kumi ) Ni muda wa kuinyoosha nchi bila kuangalia majina ya watu.......!! Ni muda wa kufanya kazi na watu wenye nia ya kunyoosha nchi..... Huu sio muda wa kufanya kazi na watu wenye malengo yao 2025.... Huu sio muda wa kufanya kazi na watu wanao tengeneza 2025......hao watu watakuchelewesha......... Siku zote matengenezo ya mtandao huambatana na maovu na waovu bila kusahau mema na wema.....!! Piga chini hao waendelee na malengo yao nje ya serikali....... Lakini pia Kuna wale waliotegemea kupiga noti na sasa imekuwa kinyume na hali zao kiutendaji zimeshuka.... Hao nao piga chini......!!
NB:Makonda amefanya kazi nzuri sana na historia itamkumbuka...... Lakini hakuzaliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa kudumu......!! (apewe nafasi nyingine)
Mwisho ingawa sio kwa umuhimu - Mzee punguza kasi na Clouds Tv 📺...(sidhani kama Nape ana wamudu hawa kwa kwa sasa..... Kama unawapenda watunze moyoni..... (watakuja haribu hao...
