SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 25 Februari 2018

T media news

TANGA RAHA- Sehemu ya Kumi na Nne ( 14 )

AGE………………18+

WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA

Mama Fetry akamrukia Madam Fety na kumlaza kwenye kochi na wakaanza kuminyana na kumfanya madam Zena kutoka bafuni uchi huku akiwa ana mapovu kwenye baadhi ya sehemu za mwili wake”

“Jamani shost zangu mbona munakuwa kama watoto wadogo kupigana pigana.Hilo swala si tu-shalizungumza kuwa Eddy akija atachagua nani amtakaye.Na wewe Eddy mwanaume mzima wezako wanapigana wewe umesimama unawaangalia”

“Tena koma wewe manamke usen*** wenu kaufanyieni kwenu musitake niwazabe amkofi hapa”

“Msen*** mwenyewe wewe na wazazi wako walio kuzaa”

“Zena unasemaje wewe”

“Kama ulivyo nisikia”

Nikamsogelea Madam Zena kwa hasira na kumkaba koo na kuwafanya Mama Fety na Recho kuacha kupigana kuja kuingilia ugomvi huku wakianza kunipiga makofi ya mgongoni baada ya kumsikia mwenzao akiomba msaada anakufa

ENDELEA

Nikamuachia Madam Zena na kuwageukia Mama Fety na Madam Recho na kuwafanya warudi nyuma kwani sura yangu imetawaliwa na asira kiasi kwamba kila mmoja akaniona ni mtu watofauti

“Changanyeni mbaliga zenu na mtoke ndani kwangu kabla sijafanya kitu kitakacho wapotezea maisha”

Kwa jinsi sauti yangu ilivyo badilika na kuwa ya kutisha masikioni mwao kila mmoja akaanza kuvaa kilicho chake na kutoka ndani ya chumba changu na nikaufunga mlango,baada ya dakika kadhaa mlango ukagongwa nikapiga hatua za taratibu kwenda kuufungua na kukuta na madam Zena

“Samahani Eddy niimesahau funguo za gari langu hapo juu ya meza”

Nikazichukua funguo zake kisha nikampatia na kaondoka zake,nikabadilisha nguo na kuvaa nyinine na kisha safari ya kuelekea kwenye hoteli ikaanza huku nikipita ile njia ya vichpochoro hadi nikafika Hotelini,Nikapiga hatua mpaka ninafika usawa wa chumba nikamuona muhudumu akigonga mlango ikanibidi kuongeza hatua za kwenda sehemu alipo

“Samahani dada nikusaidie nini?”

Nilizungumza huku nikishika kitasa cha mlango na kumfany muhudumu kusogea kando kidogo na kunipisha mimi nisimame usawa wa mlangoni

“Nyinyi si ndio mulio kuja na ile gari aina ya Spacio?”

“Ndio”

“Basi nilikuwa ninawomba mukaisogeze pale mlangoni kwani sio sehemu za parking za magari”

“Sawa dada nimekuelewa….Je maegesho ya magari yapo wapi?”

“Upande wa kushoto wa hoteli kuna geti amapo humo ndani ndio maegesho yapo”

“Asante:

Nikamuacha aondoke usawa wa mlango na mimi nikafungua mlango na kukaa ndani nikastuka kuto kumkuata shem Halda kitandani,Nikapiga hatua hadi bafuni na kumkuta akiwa amesimama kwenye huku ameegemea ukutani huku akiwa analia

“Halda nakuomba twende nyumbani”

Halda hakuzungumza kitu zaidi ya kukaa kimy huku akinitazama kwa macho ya hasira kiasi kwamba mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio

“Halda nakuomba twende nyumbani kwani usiku umesha ingia”

“Niache wewe ndenda zako”

“Hapana tumakuja pamoja kwanini unahitaji kubaki peke yako”

“Eddy niche peke yangu hunijui sikujui kwahiyo usiwe mtu wa kunisumbu hembu nenda kwako au nimwambie Rahma kuwa unanisumbua?”

“Hapana shemeji utakuwa hujatenda haki kwani hembu basi jaribu kulifikiria swala la mimi ku-fanya mapenzi na wewe endepo Rahma siku atafahamu wewe unahisi itakuwaje?”

“Wewe ni mtoto hadi mwambie kuwa umefanya mapenzi na mimi?”

“Hapana ilAa….”

“Eddy hakuna cha ila.Nakuomba utoke ndani ya chumba changu nitalala mwenyewe sawa”

Halda alizungumza kwa hasira na kunifanya nianze kupiga harua za kuelekea mlangoni taratibu kabla sijaufikia nikaisikia sauti yake kwa nyuma

“Eddy ndio unaondoka?”

“Halda ni bora niondoke kuliko kumsaliti mpenzi wangu”

“Eddy nakuomba usimwambie Rahma kuwa nilikufanyia hivi”

“Snto mwambia endapo wewe huto endelea kunisumbua”

“Sawa Eddy mimi sinto kusumbua ila nakuomba unifikirie japo kwa siku moja na mimi niweze kupata kile unacho mpa Rahma”

“Sawa”

“Basi ngoja nivae nguo zangu nikurudishe nyumbani kwako”

Halda akavaa nguo zake kisha tukaondoka na safari ya kuelekea kwangu ikaanza,njia nzima ha-kuana aliye msemesha mwenzake zaidi ya ukimya kutawala ndani ya gari

“Ingia barabara ya mtaa huo”