KESHO TAREHE 11/02/2017 ni Juma Mosi ya PILI ya mwezi Kiserikali inafahamika KAMA “” *MAZOEZI DAY*“”
Tafadhar saaana tunakumbushwa kushiriki kwa Pamoja kulinda Afya zetu!Kumbusha wananchi wetu na familia zetu kushiriki!
Tutakutana saa 12:00 Asubuhi Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
Mkuu wa wilaya ya bunda anawalika wananchi wote kushiliki katika mazoezi ayo wakati akiunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais Samia Suluhu ya kufanya mazoezi kila Jumamosi ya pili ya mwezi lengo likiwa kuimarisha afya na miili ya watumishi na vijana ili kuepukana na magonjwa yasiyoambukizwa ambayo yanaweza kuwanyemelea.
“Hakuna mtaji Mkubwa kuliko AfyA”