SAA Kadhaa baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Dr Kikwete kung'atuka madarakani katika wadhifa huo na kumkabidhi Dr Magufuli wadhifa huo ,Dr Kikwete ameandika ujumbe mzito kuhusu Dr JPM katika ukurasa wake wa twitter.
Dr Kikwete ambaye aling'atuka jana amesema kuwa anaamini Dr Magufuli atakiendeleza chama hiko katika mafanikio na kudai kuwa CCM itamiarika chini ya Dr JPM.