Mwanamuziki wa Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo, Koffi Olomide amekuwa kwenye headlines siku za hivi karibuni baada ya kutimuliwa nchini Kenya kutokana na kusambaa kwa video iliyomuonesha akimpiga teke dancer wake.
Lakini wakati hayo yakiendelea, chukua fursa hii kumfahamu binti yake Didi-Stone mwenye umri wa miaka 16 tu lakini aliyejipatia umaarufu kutokana na fashion yake.
Umaarufu wake umeshamweka kwenye majarida kadhaa yakiwemo Vogue. Tazama zaidi picha zake hapo chini: