Tarehe 30 Mwisho wa mwezi huu wa saba Tanzania kushuhudia mapinduzi ya kiburudani. Tamasha Kubwa la MWENDOKASI FESTIVAL linatarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Postal Kijitonyama, Wasanii Wakubwa Mbali mbali wa Bongo Flava watatoa burudani kali mbele ya maelfu ya wakazi wa Dar es salaam , Baadhi ya wasanii ambao watakuwepo ni
Navy Kenzo, Ally Kiba, Christain BellaRoma, ManiFongo, Snura, Gnako, Isha Mashauzi, SautiSol, Mr Blue, Nuh Mziwanda, Barnaba Adamu MchumvuQuick RockaJuma NatureNay wa MitegoRucky BebyDj D Ommy na wengine
Katika tamasha hilo patakuwa na sehemu ya kawaida ambapo kiingilio kitakuwa ni 10,000/= kwa Mtu mmoja,
Kutakuwa na sehemu maalumu ya VIP ambapo Kiingilio kitakuwa 100,000/= kwa watu wawili
Pia Kutakuwa na Sehemu maalumu kwa ajili ya VVIP ambapo Kiingilio ni 500,000/= Kwa watu wanne
Tickets zitaanza kuuzwa soon katika vituo mbali mbali ambapo tutawatajia muda si mrefu...
Usikose Mtu Wangu ...Ni pale Viwanja vya Posta Sayansi Kuanzia Saa nane mpaka Kuchweeee