SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 28 Machi 2016

T media news

Huduma ya Kwanza: Mtu aliyeng'wata na Mnyama



  • Jeraha la dogo. Iwapo sehemu uliyong'wata na ni ndogo na hakuna kidonda cha dhahiri, tibu kama jeraha dogo. OSHA kidonda sawasawa kwa kutumia maji safi na sabuni. Unaweza kutumia antibiotics za kupaka ili kuzuia maambukizi, pia funga kidonda kwa bandeji safi
  • Jeraha kubwa: Iwapo sehemu ya jeraha ni kubwa au imechimbika sana na damu nyingi zinavuja, gandamiza kwenye jeraha  kwa kutumia kitambaa safi ili kuzuia kuvuja kwa damu. Nenda kamuone daktari.