SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 28 Machi 2016

T media news

Dawa ya Asili inayotibu Kikohozi


dawa ya kikohozi
Kikohozi

Dawa ya Asili ya Kikohozi

Kitunguu Swaumu + Asali
Menya punje 3 au 4 za kitunguu swaumu, kata vipande vidogo vidogo na uchanganye kwenye kikombe kimoja cha asali na uuache mchanganyiko huu kwa usiku mzima.
Chukua kijiko kidogo kimoja cha mchanganyiko huu na ulambe mara 2 kwa siku mpaka upone.