Usiangalie video za 'x’ zenye kuchochea kufika kileleni haraka. Ungaliaji wa movie za namna hii huchochea zaidi mbegu na kupandisha ashki na munkari wa kufanya mapenzi ambapo unapokutana na mwenza, uume kugusa tu mashavu ya uk* shahawa huwa zimeshamwagika tayari
Hali hii inatukuta haswa vijana ambao tulizoea kujichua na kuendekeza sana kuangalia picha za ngono..
Kabla sijaondoka nikuachie mbinu nyingine wakati unaendelea na tiba kuwa.. Ile nusu saa kabla hujaenda kushiriki tendo la ndoa hakikisha umeandaa kinywaji cha tangawizi iwe kali kidogo, kunywa walau kikombe kidogo kimoja. Hii inakusaidia damu kuchangamka na kusambaa kwenye misuri na uume kudindaa vizuri pale unapohitaji kushiriki faragha... Unaweza usipate matokeo mazuri kwa siku moja ila kadri unavyojiwekea utaratibu huu kila mara utapata matokeo yaliyo mazuri zaidi.
