Katika Mstari mwekundu. Picha namba moja ni Meli kongwe zaidi ya Marekani iitwayo Abraham Lincoln iliopoteza uwezo wa mapambano baada ya Iran kuipiga kwa makombora manne tu
Picha namba mbili ni Msaidizi wa Meli ilio haribiwa vibaya hii inaitwa USS George H. W Bush.
Vikosi vya Iran (IRGC) vilisema vimerusha makombora 4 ya ballistic kuelekea USS Abraham Lincoln (CVN-72) kama sehemu ya operesheni yao ya kijeshi Na kuiharibu Meli hiyo kiasi kwamba imepoteza mapambano ndani ya Muda mfupi.
Marekani imekanusha kabisa madai hayo, Kamandi ya kijeshi ya Marekani (CENTCOM) ilisema
*Makombora hayakupiga meli hiyo
*Hayakukaribia hata kidogo.
Lakini kinacho Staajabisha ni Ujio wa Meli nyingine kubwa baada ya taarifa ya Jeshi la wanamaji la Iran kusema Iliharibu meli hiyo Vibaya sana japo Marekani wanaficha.
Hii picha namba mbili ni meli ya kivita ya Marekani USS George H. W. Bush (CVN‑77), ambayo ni moja ya meli kubwa za kubeba ndege duniani.
Inaelekea katika mstari mwekundu kuchukua nafasi ya Abraham Lincoln baada ya madai kua Iko hoi bin taabani.
Marekani imekua na tabia ya kuficha kila baya linalo wakuta ila ukweli ni kwamba Meli hiyo ya Abraham Lincoln ni meli kiwete kwa sasa haina uwezo wa kuhukumu tena vitani imechapwa vibaya mno.

