Kikosi cha Yanga SC kimeondoka alfajiri ya kuamkia leo kuelekea nchini Botswana tayari kwa mchezo wa marudiano wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Township Rollers FC Machi 17 mwaka huu.
Jumla ya wachezaji 20 na viongozi 11 wakiwemo nane wa benchi la ufundi wamekuwa sehemu ya msafara huo.
Yanga SC yawaliza Watanzania, Warudi jangwani vichwa chini
Wawakilishi hao wa Tanzania Bara katika michuano ya klabu bingwa Barani Afrika, Yanga walikubali kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa Township Rollers FC katika mchezo wa awali uliyopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es