Rais Kenyata amesema
"kama sio kukomaa kwa democrasia Kenya, nisingelikuwa hapa sasa hivi eti nasubiri Supreme court itoe maamuzi kwa mara ya pili. Tungelikuwa na shida sana sasa hivi.
Tuheshimu democratic Institutions tulizoziweka zifanye kazi yake, nchi zingine wasingelikubali".