SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 13 Novemba 2017

T media news

Majirani Wafunguka Kuusu Dkt. Luis Shika Mnunuzi Feki wa Nyumba za Lugumi

Jina la Dr. Luis Shika lilianza kupata umaarufu mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kushiriki mnada wa nyumba za Lugumi na kushinda nafasi ya kuzilipia nyumba 3 ambazo gharama zake ni zaidi ya BILIONI 2.

Gumzo lilikua kubwa sana baada ya kugundulika kwamba Dr. Shika hakuwa na pesa yoyote mfukoni hivyo akakamatwa kupelekwa Polisi kwa kuvunja masharti ya mnada ambapo hata hivyo baadae alisema hawezi kutembea na pesa nyingi hivyo.

Watu wengi wamekua na shauku ya kutaka kujua kama kweli Dr. Shika ni Bilionea kama alivyojitokeza kununua Majumba ya Bilioni, anaishi wapi? maisha yake ni yapi? majirani wameongea kila kitu kwenye hii video hapa chini.