SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 1 Septemba 2017

T media news

UKATILI...Mwanamke Ashikiliwa na Polisi Kwa Tuhuma za Kumpaka Pilipili Ukeni Binti yake

Mahakama ya Karmo Jijini Abuja nchini Nigeria inamshikilia mwanamama Mercy Segun, 42 kwa tuhuma za kutia pilipili katika uke wa mtoto wake na kumsababishia maumivu makali.

Mtuhumiwa huyo alikamatwa siku ya Jumatano Agosti 30, 2017 na anashikiliwa kwa makossa matatu ya jinai, shambulio la mwili pamoja na kumsababishia maumivu makali mtoto huyo mwenye umri wa chini ya miaka 18.

Jirani wa mama huyo aitwaye Gift, alitoa taarifa ya tukio hilo katika kituo cha polisi cha Karmo ambapo Polisi walifanya uchunguzi na kumtia mbaroni mama huyo mara moja. Mpelelzi wa Polisi Florence Auhioboh aliieleza mahakama