HABARI: Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyata asema wananchi wanaruhusiwa kuandamana kwani ni haki yao kikatiba...amewaamuru Jeshi la Polisi kuacha kutumia nguvu kupita kiasa...ila Serikali haitavumilia watakaoharibu mali za umma.
habari michezo na burudani